Natafuta mchumba msichana mwenye sifa zifuatazo

Udomo zege limekuwa tatizo la kitaifa

Nani domo zege wwe acha ushamba,ulaya na China kuna makampuni maalumu ya kuwatafutia watu wachumba wakuoa tena kwa pesa nyingi,kutokana na watu kuwa busy kufanya kazi hawana mda wakupoteza kuanza kumtafuta mchumba, bongo na nchi za Afrika ndio wengi mna mda wa kupoteza kuanza kumfatilia mtu kumchunguza kumtongonza mpaka mkafikie uchumba mmeshapoteza mda mwingi ambao ungetakiwa ulitumikie taifa lako!,inabidi ifike hatua tubadilike tujadili mda wetu ilituweze kuendeleza taifa letu!l
 
Umeguna kwani kuna kitu gani cha ajabu hapo,nia yangu ni kutengeneza serious relationship ambayo inaweza kutupeleka kwenye ndoa!

Naam, kipo cha ajabu. Ni hicho "kutengeneza mahusiano".

Nnaona kama kuna kauasherati kanaundwa hapo.
 
Uasherati gani unamaanisha sijakuelewa,mmi ni mwanaume naejiheshimu natafuta mwanamke wa kuja kuoa sio kuzini nae!,nipo makini kuliko unavyofikiri!
 
Kuna mahusiano yepi ya kutengenezwa baina ya mwanamke na mwanamme zaidi ya uasherati?

Mimi nijuavyo, unamuona mwanamke unapeleka posa na mnaoana, mahusiano mnayatengeneza kama mke na mume na si kabla. Kabla na uasherati.
 
Wwe nadhani ni mgumu wa kuelewa,huwezi ukamuoa mtu bila kumjua tabia zake strength &weakness, na hizo tabia huwezi kumjua bila kuwa nae kwenye mahusiano ya karibu,sasa unapoaniambia mahusiano yanatengenezwa kwenye ndani ya ndoa nashindwa kukuelewa,ndani ya ndoa tunaboresha na kudumisha mahusiano tulio kwisha tengeneza na sio kutengeneza mahusiano,Any way wengine wamenielewa ndio maana hawana hoja dhaifu kama zako!,na mapenzi kabla au baada ya ndoa,nimakubaliano baina ya wapenzi wawili!sina cha ziada nadhani nimeeleweka!
 
Huwezzi kunielewa kwa kuwa mmeshaaminishwa uasherati kabla ya ndoa ndiyo kujuana.
 
Nendeni makanisani kwenu, vijijini kwenu au mikoa mnayotoea huko mtapata watu
 
We bwana ni mtunga stori mzuri, Shigongo anawahitaji watu kama nyie
 
Money will never conquer love bcoz true love will still be true till the end....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom