Mm nawashauei tu wanaotafta wachumba humu uwe unaitaji familia ya maana yenye malezi stahiki sio kuitaji mtu kwa vigezo vigi hasa mali,, ndoa kwanza mambo ya ana nn,wengine tunaogopa kuwa pm kwa kuwa kitu cha msingi hatukioni,mtu kama anataka ndoa basi mambo ya magari ya nn wakati hayo ni mambo ya kutafta tu, lkn tuwe makini tukumbuke hii niitandao tu usiwe mwepesi kujipeleka peleka. Mm nili pm mtu hapa niko vzr tu kimaisha niko na nyumba yangu na asset zingine na usafir lkn cha ajabu ni noma niliyoyakuta nikasema humu sio saiz natafta live live mtaan kwetu