Natafuta Mchumba/Mme

Ladies jueni kua binadamu wa miaka 30/ 40 huyo hawezi kua single unless ni mjane, single father au ni mzee kijana.
Kama si chochote kati ya nilivyoainisha hapo huyo jamaa ni mume wa mtu na anataka kukuzingua.

Haya andika kuanzia miaka 25 nije pm.
SIO KWELI
 
Mimi nina miaka 46 mrembo na niko single, vipi sifai kukufuata PM??

Nina kila sifa anayotaka mwanamke mzuri kama wewe, nijibu tafadhali nikutembelee huko PM.
 
Kik Ili? kwani ninakujua hadi nitafute kiki wastaarabu wapo kimya au lazima kucoment
Bado mbichi, hilo sharti la umri rekebisha
Ili ni apply. Kwa sasa nasomesha watoto mama yao alisepa kitambo yuko kwa mheshimiwa
 
pesa je
 
Ugumu unasababishwa na nini?

Huyo si mtu maarufu?

What's her/his career.
Ni maarufu insta.

Ni member humu tangu 2009.

Humu jf kuna nyuzi mbili zilikua zinamuongelea mchana nzima, haujaziona.

Career yake ni blogger.

Kama sehemu zote hizo haujamuona hapo nashindwa nikuelekezeje.
 
Ni maarufu insta.

Ni member humu tangu 2009.

Humu jf kuna nyuzi mbili zilikua zinamuongelea mchana nzima, haujaziona.

Career yake ni blogger.

Kama sehemu zote hizo haujamuona hapo nashindwa nikuelekezeje.
Sawa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…