Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko kuzaa.

Habari

Ni kijana wa miaka 25
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na mvumilivu.
Kama mtoto tunaweza kuasili kama tukikubaliana.

Sifa zako
Uwe mgumba au uwe tayari tuishi bila kuzaa
Usiwe mnene sana
Uwe unajishughulisha
Rangi yoyote

Maswali mengine njoo DM siwezi kuandika kila kitu.
Duuuh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom