Natafuta mchumba mgumba au ambae hayuko kuzaa.

Mkuu acha tu,hadi naamua kuyakubali matokeo ujue I can't take it anymore.
Sutaki nijipe stress za kuzaa Tena.
Kujikubali na kukubali matokeo Yangu kutayafanya maisha Yangu yasiwe na presha ya kuzaa kutoka kwangu na jamii ndio maana natafuta ambaye yuko tayari kama mimi
Najaribu kuges tyu, what you feel..kiukweli INAUMIZA SANA. Pole sana Mkuu, may God be with you.
 
You are just 25 na umekata tamaa kabisa? Watoto ni zawadi, sayansi ni endelevu. Miaka 20 ijayo utakuwa 45, umeshawaza sayansi na teknolojia itakuwa imetufikisha wapi?

Tafuta mchumba atakaekukubali katika Hali zote huku ukiwa wazi kuhusu hizo changamoto zako za kiafya. Manake unahofia kuzaa, 5 yrs to come unaweza kukatika miguu yote ama kupofuka macho.

Nakutakia maisha marefu, afya njema na furaha
Logic...
 
Kwa wale ambao hawana kabisa mbegu za kiume..plan B inakuaje?????
 
You are just 25 na umekata tamaa kabisa? Watoto ni zawadi, sayansi ni endelevu. Miaka 20 ijayo utakuwa 45, umeshawaza sayansi na teknolojia itakuwa imetufikisha wapi?

Tafuta mchumba atakaekukubali katika Hali zote huku ukiwa wazi kuhusu hizo changamoto zako za kiafya. Manake unahofia kuzaa, 5 yrs to come unaweza kukatika miguu yote ama kupofuka macho.

Nakutakia maisha marefu, afya njema na furaha
good advice
 
Habari zenu

Toka niposti mpaka leo sijapata mtu,bado natafuta
 
Habari zenu

Toka niposti mpaka leo sijapata mtu,bado natafuta
 
Habari zenu

Toka niposti mpaka leo sijapata mtu,bado natafuta
 
Wewe bado mdogo sana. Usikate tamaa. Hata kama dokta kakwambia huwezi kumzalisha mwanamke, usijisikie vibaya. Kama unaweza kukusanya hela za kutosha kuna kitu kinaitwa IVF. ( Intravero Fertilisation) Mbegu zako zikachukuliwa mkeo akawekewa akabeba mimba kama kawaida. Na kama tatizo lingine lipo, kuna vyakula na madawa ya kuongeza hormone (testesterone) za kuongeza uzalishaji wa mbegu za kiume. Usikate tamaa. Lakini wewe mtafute tu mke ambae atakukubali na hali yako ya sasa. Ila amini huko tuendako teknolojia ya kutibu tatizo lako itakuwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom