Natafuta mchumba (male) muislam

Chonga wako mwenyewe, wenye sifa hizo tayari tumetekwa kwingine labda ukubali kuwa kamchepuko
 
Weka picha kwanza,maelezo ya maneno hayatoshi.Mi sifa zote nnazo ikiwemo ya mapenzi ya kweli ambayo umeisahau.
Nitumie picha p.m nithaminishe quality nsije nkajikuta nmeangukia kwenye sura ya bamdogo
 
Hebu maliza kwanza chuo, "Ngoswe" mapenzi Kitovu cha Uzembe"
 
weka namba hapa bhana..... watu tufukunyue mawasapu na matext yakutosha pm is boring
 
Jaman me ctanii wala ctak kuznguana nimesema ambaye yupo serous km haupo serous naomba upite mbali
 

mpaka hapa naamini umepata pm zakutosha lakn ktk pm zote hizo wote mabazazi watakugaragaza paka iote sugu
 
Bint mkwel Ni pm right now kabla Magufuli hajaapishwa! Maana ile kauli mbiu yake ya hapa kazi tu nadhani sitakuwa na mda free tena
 
Last edited by a moderator:
Jaman me ctanii wala ctak kuznguana nimesema ambaye yupo serous km haupo serous naomba upite mbali

Ongeza ongeza nyama nyama kwanza at least kamkia kachomoze... Utatafutwa ww wala hutosumbuka kutafuta.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…