Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,295
- 60,915
Haina shida, vizuri umejua nowPole tatizo jina
Haina shida, vizuri umejua nowPole tatizo jina
Yote yanawezekana😃😃Kama hakuna kuvaa shera basi mawili moja wapo lazima maana lazima watu wale ubwabwa.
Azikwe mtoto wa Mama Mkwere ama wewe,na hapo itakua ubwabwa umeliwa!!
Sitaki masharti kama ya mikopo niuzie ramani mwenyewe.Weka dau lako na wewe nione,, halafu uchane na mistari nikusikilize
Yote yanawezekana😃😃
Uliniona kwenye msafaraKuna ubaya gani? Si ndio haki sawa mnayoililia?