binamu weka vizuri hili tangazo lako basi, unatafuta me au ke?? manake mwenyewe kila ukiulizwa jinsia unasema twende PM, sasa leo twambie waziwazi akina nani wakuje???
binamu weka vizuri hili tangazo lako basi, unatafuta me au ke?? manake mwenyewe kila ukiulizwa jinsia unasema twende PM, sasa leo twambie waziwazi akina nani wakuje???
Duh nimeishia kucheka na lazima uyo mchumba awe mcha Mungu maana tofauti na hapo hakuna rangi ataacha ona kwa uwezo wa satelite zako hawezi kua na kitu siri,nikutakie kila la heri mkuu duh teheee teheee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.