Natafuta Mchumba, awe mcha Mungu

Natafuta Mchumba, awe mcha Mungu

Umeona eh? Maana mie jobless hilo mlijue kbsa, so kama huna kazi kaa pemben kwanza

kabla hujapata kazi ondoa fikra ya kutawaliwa kwanza
uliza unajishughulisha na nini na sio unafanya kazi au umeajiriwa wapi

nakaanga mihoho kilungule na na chapati asubuh
 
Duh nimeishia kucheka na lazima uyo mchumba awe mcha Mungu maana tofauti na hapo hakuna rangi ataacha ona kwa uwezo wa satelite zako hawezi kua na kitu siri,nikutakie kila la heri mkuu duh teheee teheee.

Ahahahah ahahah, dah, nashukuru aiseeh, Ndo maana nataka mcha Mungu maana vinginevyo ni shidaaa
 
mimi nazibua vyoo manzese kwa mfuga mbwa je ntakubaliwa
 
Huyo anatafuta mwanaume kwa vyovyote vile 51 kwa mwanamke.... labda hutaki......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom