Natafuta Mchumba, awe mcha Mungu

Natafuta Mchumba, awe mcha Mungu

Aaah binamu.... tumwage mpunga kwenye kuku wengi hapa

Unamuogopa nani? We ongea apa kila mtu akusikie, we si kidume? Au vice versa? Ndo nataka unitongoze sass mbele za watu ili wajue
 
Nenda kwenye kambi ya wakimbizi utapata wa umri wowote na wale kwa sasa wanamtambua mungu kama tumaini lao.
 
Imebidi nisome mara mbili mbili , kwamba leo maceleb wote hauna habari zao.Habari ni yako kutafuta mchumba nimejichekea mwenyewe.Usikate tamaa wako njiani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom