Natafuta mchumba anayesoma Chuo Cha Ualimu Tabora

Wakuu natafuta mchumba wa kuoa ambaye anasoma Chuo cha Ualimu Tabora ama Chuo Cha Uhazili Tabora aliyetayari kuolewa na asiyejali masuala ya uke wenza.
Sifa za nwanamke huyo:
-Umri kati ya 20 mpaka 30 years
-Awe ni mwelewa
-Ajitambue
-Awe mweusi
-Asivae mawigi
- Awe tayari kufuata dini yangu ya uislamu

Sifa zangu:
-Gentleman with over 40 years of age
-PhD candidate
-Nina mke na watoto watatu
-Ni mtumishi wa serikali kituo changu cha kazi ni Dar.

Am serious.
Please pm and send me your photos and you will be given my contacts.

Post sent using JamiiForums mobile app
CHUO CHA UHAZILI kina watoto wa ukweli sana aisee...watu wengi humu jf wamepata wake zao wamesoma pale,,,kiukweli watoto wako vizuri cjui kitabia maana tabia na uzuri havitegemeani
 
wana group lao la watsp na wengi madau yao yanaanzia laki tano kwenda mbele sasa kama hauna hizo hela mkuu utaishia kuulizia mrejesho tuu...fungua pochi watoto waje..kuna demu yupo pale crdb alisoma pale wa ukweli sana aisee
Nipatie admini wa hilo group lao mkuu
 
wana group lao la watsp na wengi madau yao yanaanzia laki tano kwenda mbele sasa kama hauna hizo hela mkuu utaishia kuulizia mrejesho tuu...fungua pochi watoto waje..kuna demu yupo pale crdb alisoma pale wa ukweli sana aisee

Hahahahaaah.... Lokiyo, huyu jamaa anahitaji ndoa ya pili
 
CHUO CHA UHAZILI kina watoto wa ukweli sana aisee...watu wengi humu jf wamepata wake zao wamesoma pale,,,kiukweli watoto wako vizuri cjui kitabia maana tabia na uzuri havitegemeani
Tabia labda upate anaehudhuria vipindi vya dini daily,wengi pasua kichwa wale
 
Back
Top Bottom