Natafuta mchumba anaeishi zanzibar

Natafuta mchumba anaeishi zanzibar

alley omar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
277
Reaction score
37
Aslm alykum wana jf nimejitokeza ktk jamvi kutafuta mwenza wa kike anaeishi zanzibar mm naishi huku kwa sasa ndo nikasisitiza anaeishi zanzibar zaidi ni zaid ni PM
 
"...mimi naishi huku kwa sasa...." Ukiondoka?
Ilooo! Haumpati mtu Zenj!
 
Dah ningekuunganisha kwa dada mmoja lakini naogopa TINDI KALI .........!
 
Hakuna ustaarabu huo kwetu nahc ilitokea kimakosa sana kumwagiwa tindi kali nahc ni vibaka wanataka kuharibu taswira ya visiwa
 
Maisha yanabadilika kutokana na binadam wenyewe cwezi kukupa guaranty ya kuishi huku mpaka pale Muumba atakapo nita niko duniani bado nina malengo ya kutafuta mafanikio ppt pale
 
Unaishi huko kwa sasa? Umejinasisha mwenyewe! Na uliyemwacha dar?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom