mickey drizzy
Member
- Jun 19, 2015
- 30
- 3
habari zenu wakuu
hope mmeshinda poa
kwanza kabisa ningependa tumshukuru mungu kwa kutulinda na kutupa pumzi yake mpaka hivi sasa (wote tuseme amin)
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23...
natafuta mwanamke ambae anaweza kuja kuwa mke wangu wa baadae
sifa- ajitambue
- asiwe msiri kupitiliza
- asiwe mdanganyifu
- awe na rangi yake ya asili
mengne tutazungumza pm..
kwa aliye serious aje PM tuzungumze
nawatakieni usiku mwema nyote
ahsanten