Kama unatokea mjini kipo mkono wa kulia, wanapaita MAWE ni baada tu ya kutoka Ihayabuyaga.
Siku hizi napita maeneo hayo saa 12 asubuhi nawahi kazini, ila nadhani bado wapo maana baadhi ya majengo mengine hayajakamilika japo kilianza kazi oktoba mwaka jana.
Boss hii kaz bado ipo me mi KE vp naweza kupata kwa sasa nipo tabata ipa akama itakua na tija niko tayar kuhamia huko kigamboni ....kama ipo nijuze niko idle sana jaman