Watupe connection hata za viwandani
Panaweza kupatikana na kazi za kike hapo?Upo Mwanza maeneo gani? Jaribu hata kiwanda cha nondo kinachotengenezwa nje kidogo ya Kisesa, barabara ya Musoma.
Kila siku nawapita pale vibarua wanaenda kupiga kazi, nenda
Ndio, zinapatikana. Asubuhi nikiwa naenda kazini huwa nawapita watu pale vijana rika lote wakisubiri kuingia.Panaweza kupatikana na kazi za kike hapo?
Mkuu kiwanda kimeshaanza kazi au wanapiga kazi za ujenzi?Upo Mwanza maeneo gani? Jaribu hata kiwanda cha nondo kinachotengenezwa nje kidogo ya Kisesa, barabara ya Musoma.
Kila siku nawapita pale vibarua wanaenda kupiga kazi, nenda kajaribu fusa pale.
SawaNdio, zinapatikana. Asubuhi nikiwa naenda kazini huwa nawapita watu pale vijana rika lote wakisubiri kuingia.