Natafuta mchongo wa kazi sekta ya ujenzi

Dec 20, 2016
98
109
Habari wana jukwaa wa JF,

Mimi ni kijana wa kitanzania kwa sasa napatikana Dar es Salaam.

Natafuta kazi ya ufundi chuma (rebar works).

Na uzoefu wa miaka miwili nikifanya kazi na chinese contractor kwenye project mbalimbali.

Kama drainage system highways bridge and house construction.

Pia naweza kufanya kazi yoyote ile ikipatikana kama supervisor storekeeper warehouse incharge.

Contact 0745000157


FB_IMG_16113793954642248.jpg
 
Tunahitaji mafundi wazoefu. Kwanza utaanza na mafunzo ya mwezi mmoja kujua kutumia aina ya vifaa vyetu, kujua nidhamu za ufundi na kujua viwaango na ubora wa kazi za ufundi. Kama ni mzoefu sana mafunzo yanaweza kuwa ni ya wiki mbli tu. Ukifanya vizuri kwenye mafunzo kuna fursa nzuri za ajira mbali mbali.

Kama hauna uzoefu utafundishwa kujenzi kuanzia mwanzo mpaka uwezzo wako utapofikia.

Mafunzo yetu yamelenga sana kwenye nidhamu za kazi za ufundi na vipimo. Tunawezesha kuwa na mafundi bora si bora mafundi.

Tupigie 0625249605 kwa maelezo zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom