KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Mkoani wapo mbnaGerman shepherd bongo watakudanganya tu. lkn pia mbwa hawa pamoja na sifa ya kuwa na akili nyingi kushindwa majibwa yenzie, Huwa na matatizo ya kiuno Mara kwa mara... sijui kama tuna madaktari wa mifugo sisi.
Napenda sana hii mijibwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hilo jichovp huyu ankufaaa
ndo anaonesha yupo makini na lindo[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamani hilo jicho
Sio kwa umakini huo aiseendo anaonesha yupo makini na lindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KweliKwanza unataka wa kula au wa kitu gani maana nmeona ume specify dizaini
Basi2 kuwa na usalama mkuuKwani shemeji yetu kajifungua baby girl?
Ivi vimbwa navifaham, vioga kichizvp huyu ankufaaa
Ni risky ambayo am willing to takeKumpata Huyo G.S pure ni Gharama sana halafu na wewe uwe unawajua vizuri
Yuko poaVp huyu atakufaa?
American EskimoYuko poa
Aina gan huyu mkuu