Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,617
Mkuu nimejaribu njia nyingi na wazee fulani walikuwa wanasifiwa ni hodari wa kukamata chatu ila hapa walifika na kunyoosha mikono. Nimeambiwa nijaribu kutumia mbwa zaidi.Hahahaha this is not business bro, tangaza dau tukukamatie chatu wako
Mkuu nimejaribu njia nyingi na wazee fulani walikuwa wanasifiwa ni hodari wa kukamata chatu ila hapa walifika na kunyoosha mikono. Nimeambiwa nijaribu kutumia mbwa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi nipate hao wakongo mbuzi wangu watakuwa wameisha.Mbwa yoyote kwa chatu ana ujanja dawa ya chatu ni wacongoman maana ni mboga tena ya heshima watafute uwambie kwamba kuna kitoweo hapo kwako!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetaka mbwa mwenye nguvu ndiyo maana nikaja hapa mkuu. Na nimekuwa tayari kwa mazungumzo endapo mbwa wako atamezwa.Hivi mbwa wangu ninayemtunza kwa gharama sawa na binadamu nikodishe na akimezwa turudi meza ya mazungumzo?
Unatania bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajaribu kuzungumza na maliasili ila kuna nyakati nilitaka usaidizi wao wakauliza una shilingi ngapi. Nikaona acha nikomae naye pekee yangu.Mkuu kama unaogopa tafuta watu wa kumuhamisha tena sio kumuuwa
Napenda sana viumbe hao
Inabidi uwasiliane na maliasili ili waje kumbeba kama utajua alipo au kama ukimuona kashiba ni rahisi sana kumdhibiti maana hana ujanja tena
tafuta wasaidizi na pipa tu mdumbukize humo na kazi imeisha
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nihitaji mbwa wa kupambana naye siyo kwa ajili ya kitoweo naomba nielewe.Wewe unatafuta kitoweo cha chatu wako kwa gia ya kukodi mbwa.
Na mimi naomba nielewe kuwa unatafuta kitoweo cha chatu wako.Nihitaji mbwa wa kupambana naye siyo kwa ajili ya kitoweo naomba nielewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hii hojaHahahaha this is not business bro, tangaza dau tukukamatie chatu wako
Nitajaribu kuzungumza na maliasili ila kuna nyakati nilitaka usaidizi wao wakauliza una shilingi ngapi. Nikaona acha nikomae naye pekee yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa vile niko mbali lakini mtafuta mtu mwenye gobore tu. Akiisha meza huyo kondoo/mbuzi huwa hawezi tuka hapo hivyo mwenye gobore atamfuata amtie risasi ya kichwa.Huo ujasiri wa kumkata chatu nitaupata wapi mkuu. Hili jambo linanifanya niwaze kuhama hapa ninapofanyia shughuli zangu hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walami utawajua tu. Yaani mmezaliwa clinic mkakulia mtaani. Hata shamba la muhogo hujawahi kuliona. Sasa, nenda huko mikoani. Chatu anammeza ndama bila hata taabu yeyote. Wadhani anakuwa na unene gani kama sio futi 4?? Sikujaliwa kubishana na wasioaminiWe jamaa unajua unene wa futi moja kweli wewe? Hakuna nyoka wa hivyo duniani bana
Ni maajabu tu ya hivi yanatokea kwenye nchi masikini kuomba hela wakati ni kazi yao
Katika miaka ya 1900 aliekuwa Rais wa USA Roosevelt alitoa dau la $1000 kwa yeyote atakaefanikisha kumkamata nyoka mkubwa wa kufikia urefu wa zaidi ya 30ft
Baadae dau lilipanda na kufika 5000 halafu 15,000 mwaka 1978
Na mnamo mwaka 1980 bila mafanikio dau likapanda mpaka $50,000
Hapo watu zaidi walichangamkia fursa na kwenda mpaka Amazon kupambana na Anacondas ili wapate huo mchongo ambapo watu wengi walipoteza maisha kwa tamaa na bila mafanikio
Sasa sisi huku badala ya idara kusaidia watu wao ndio wanatafuta madili
Sent from my iPhone using Tapatalk