masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,158
- 14,153
Nina dume hapa na kufungiwa linaonekana limezidiwa
Nahtaj jike kama ni mdogo mdogo ingependeza zaidi
Nimfuge mpaka awe mkubwa ndo niwachanganye
Mbwa wa kiswahli tu hawa wa kawaida
Kama upo dar nitakufata popote
Kama unauza pia weka bei
Nahtaj jike kama ni mdogo mdogo ingependeza zaidi
Nimfuge mpaka awe mkubwa ndo niwachanganye
Mbwa wa kiswahli tu hawa wa kawaida
Kama upo dar nitakufata popote
Kama unauza pia weka bei