Natafuta mbwa aina ya German shepherd

Natafuta mbwa aina ya German shepherd

KweliKwanza

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,520
Reaction score
2,820
Natamfa mbwa aina ya German sherpherd long coart

Na hivyo vyeupe
Bei maelewano
 
Attachments

  • Screenshot_20180423-090841.jpg
    Screenshot_20180423-090841.jpg
    74.8 KB · Views: 160
  • Screenshot_20180403-210733.jpg
    Screenshot_20180403-210733.jpg
    25.7 KB · Views: 128
Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia

Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil

Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million

Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha
Mkuu ungeweka picha hapa wadau tuko wengi
 
Uncle naomba uwe serious na price! Jko wapi I mean anapatikana wapi? Hizo million the? Are you serious!!!
 
Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia

Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil

Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million

Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha
Puppy mmoja 2.5M????

Kumbe mimi wa kwangu niliokota asee...
 
Puppy wa miez 4 wapo wanne, wawili (madume) hawa naweza kukuuzia

Kila mmoja utapata kwa 2.5 mil

Yupo pia jike mmoja wa miaka 2, na ana ujauzito.
Huyu anaenda 6.2 million

Unaeza mnunua huyu ukapata puppy wa kutosha
Izi bei si mchezo
 
Ninao wawili

Kila mmoja nauza 5.8 mil

Kama uko serious tufanye biashara.
abeeeeh!
msinifanye ninunue hutu tupuppy staff mwenzangu anauza!
tasavali niambie hiki ulichoandika hapa ni kweli na ni kweli tupu!
 
abeeeeh!
msinifanye ninunue hutu tupuppy staff mwenzangu anauza!
tasavali niambie hiki ulichoandika hapa ni kweli na ni kweli tupu!
Sinaga utani katika biashara

Kwanza hiyo bei ni pungufu sana ya bei unayoweza kuuziwa kwny pet shops mbali mbali hapa mjini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom