Natafuta mbia wa kuwekeza kwenye kilimo hasa cha mboga mboga

Michael Bosco

Member
Jan 10, 2010
85
47
Habari zenu!
Niende kwenye mada nilikuwa natafuta mbia wa kuweza kuingia naye makubaliano na kuwekeza kwa pamoja kwenye kilimo hasa cha mboga mboga kwani ndicho chenye faida kwa sasa Tanzania. Mimi na baadhi ya vitendea Kazi kama pampu pamoja na utalaamu wenyewe wa kilimo. Chamngoto kubwa iliyopo ni mtaji wa kuweza kuwekeza kwenye kilimo hasa fedha. Kwa yoyote mwenye uhitaji na malengo kama yangu tuje tusaidiane kujikomboa na umaskini.

Naomba kuwasilisha pia karibu inbox kwa aliye tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom