Natafuta, mbia wa kufanyanae biashara hii

Asuu

Member
Sep 8, 2011
39
2
Ndg: zangu wana jf,ningelipenda kutumia nafasihii, kwakutoa, pendekezo, kama ifuatavyo:
Ombi; Mtuyeyote.Atakaekua tayari kushirikiana nami, ktk biashara,ya kuuza na kununua chuma za alminium.zinazotumika ktk ujenzi wanyumba kama vile milango,madirisha, na kdhlka. Mfumo wa biasharahii, uko mara mbili.
1; kununua chuma mojakwa moja toka china na kuja kuuza hapa nchini.
2; Au kufungua warkshop, na kuanza kula na ma engenere kwenye masight.
Ki vyovyote inalipa.
Nipotayari kutoa ushirikiano wangu wahalina mali ili kuhakikisha kwamba tuna toka. Mimi ni fundi napia nimuelekezaji mzuri wa taaluma hii.
Nina ndoto za kupokea wanafunzi na kuwafunza taaluma hii ila uwezo wangu mdogo.
Sina hata warkshop, nabaki kutumikia wachina tu. Wazawa mkoapi??,
nahitaji mzawa plse.sina uchoyo na taaluma.
 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,243
91,907
mimi nina interest na hiiyo but sio now
maybe by january nitafute
 

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,103
5,040
imekaa pouwa ebu nitumie pone namba yako kwa in box yangu i mean ni sms private
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom