Natafuta mbegu za mti wa mchongomwa

Natafuta mbegu za mti wa mchongomwa

moneymakerman

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
102
Reaction score
247
Salaams kwa jamii, nataka kupanda michongoma kama fence ya shamba langu.

Nimewahi sikia unaweza kukata vipande vya mti huo na ukavipanda vikaota, sijui kama kuna ukweli?
Lakini pia natafuta mbegu zake maana najua ni uhakika zaidi.

Nimekuja kwa ushauri na kama unazo mbegu tuwasiliane kwa maongezi zaidi inbox.

Niwatakie siku njema za huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom