M mezanane Senior Member Apr 11, 2011 116 185 May 8, 2017 #1 Wadua natafuta mbegu ya Mihogo aina ya kiroba ya kutosha heka tano. Walau vipandikizi 20,000. Nipo Kongowe, Kibaha .
Wadua natafuta mbegu ya Mihogo aina ya kiroba ya kutosha heka tano. Walau vipandikizi 20,000. Nipo Kongowe, Kibaha .
E Ediwani JF-Expert Member Nov 16, 2016 222 84 May 9, 2017 #2 Mikoa ya kusini, Lindi na Masasi kunu mashamba ya mbegu ya serikali