Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,597 Reaction score 76,614 Aug 19, 2023 #21 Ushimen said: Zinaongeza nguvu za pipe..😶 Click to expand... Hapo Sasa Watakuja Kwa Fujo Wakiona Hii Comment
Ushimen said: Zinaongeza nguvu za pipe..😶 Click to expand... Hapo Sasa Watakuja Kwa Fujo Wakiona Hii Comment
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,011 Reaction score 176,482 Aug 19, 2023 #22 jiwe angavu said: Faida yake nini Click to expand... Wanadai inapunguza mafuta kwenye mishipa ya damu ila binafsi niliona inanisaidia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hasa nikipata constipation .
jiwe angavu said: Faida yake nini Click to expand... Wanadai inapunguza mafuta kwenye mishipa ya damu ila binafsi niliona inanisaidia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hasa nikipata constipation .
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,760 Reaction score 3,858 Sep 8, 2023 Thread starter #23 min -me said: Wanadai inapunguza mafuta kwenye mishipa ya damu ila binafsi niliona inanisaidia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hasa nikipata constipation . Click to expand... Unaitumiaje?? toa maelekezo mkuu
min -me said: Wanadai inapunguza mafuta kwenye mishipa ya damu ila binafsi niliona inanisaidia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hasa nikipata constipation . Click to expand... Unaitumiaje?? toa maelekezo mkuu
Mr Chromium JF-Expert Member Joined Aug 20, 2020 Posts 2,760 Reaction score 3,858 Sep 8, 2023 Thread starter #24 Kennedy said: Hapo Sasa Watakuja Kwa Fujo Wakiona Hii Comment Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji3]Hili swala n kubwa sana
Kennedy said: Hapo Sasa Watakuja Kwa Fujo Wakiona Hii Comment Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji3]Hili swala n kubwa sana
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,011 Reaction score 176,482 Sep 8, 2023 #25 Top TZ said: Unaitumiaje?? toa maelekezo mkuu Click to expand... Unachemsha maji unaweka kwenye kikombe cha chai ,chukua kijiko kimoja cha chai weka then unakunywa fanya hivyo asubhi na jioni kabla ya kula.
Top TZ said: Unaitumiaje?? toa maelekezo mkuu Click to expand... Unachemsha maji unaweka kwenye kikombe cha chai ,chukua kijiko kimoja cha chai weka then unakunywa fanya hivyo asubhi na jioni kabla ya kula.