Natafuta mbegu za chia (Chia seeds)

Natafuta mbegu za chia (Chia seeds)

Wanadai inapunguza mafuta kwenye mishipa ya damu ila binafsi niliona inanisaidia kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hasa nikipata constipation .

Unaitumiaje?? toa maelekezo mkuu
 
Unaitumiaje?? toa maelekezo mkuu
Unachemsha maji unaweka kwenye kikombe cha chai ,chukua kijiko kimoja cha chai weka then unakunywa fanya hivyo asubhi na jioni kabla ya kula.
 
Back
Top Bottom