Natafuta mbegu za chia (Chia seeds)

Natafuta mbegu za chia (Chia seeds)

Kichwa cha habari chahusika. Kama unajua lolote Drop ur number

Nishazunguka sana Dar bila mafanikio.

Mkuu sanahani ni zanini?
mi huwa nakula kila siku,
Ni nyeusi zipo Kama Mbegu za Mchicha,
Zipo kila soko yaani kila siku nakutana nazo,
Zipo pia Kila Supermarket
nakulaga tuu kila siku
nakushuri pia Usiche kula Mbegu za Maboga kaka!
hizi zinaendana na chia seeds!
 
Nilishangaa hizo mbegu nilitupa kwenye bustani yangu ya mboga zikaota , nilivuna kama sado nzima .
 
Mkuu hukuona maonesho ya 88. Kule ulikuwa unapata hadi consultation bure.
 
Back
Top Bottom