Natafuta Mawasiliano ya Manyerere Jackton au Said Balile

Stv Mkn

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
328
273
Wakuu natafuta mawasiliano ya hao watu mwenye nayo anisaidie. Namba ya simu au email ya Manyerere au Balile.

Ni pm
 
Nunua gazeti LA jamhuri kuna mawasiliano huwa wanaweka.

Angalizo kwa Manyerere na Balile kuweni waangalifu hasa mnapokutana na watu ambao mnakutana nao kwa Mara ya kwanza wasije wakawang'oa kucha na kuwamwagia tindikali.
 
Haswa wawe makini sana.
Si kila anayemtafuta ana positive Impact ......kwa nn iwe sasa???
Inawezakana,articles zao kuharibu mifumo ya waliokua wanakula ikawa chanzo.
 
Nunua gazeti la Jamhuri. Ukurasa wa 6 au 7 kuna sehemu ya "Maoni" ya mhariri na chini yake lazima utaona contacts za bodi ya wahariri.
 
Nunua gazeti LA jamhuri kuna mawasiliano huwa wanaweka.

Angalizo kwa Manyerere na Balile kuweni waangalifu hasa mnapokutana na watu ambao mnakutana nao kwa Mara ya kwanza wasije wakawang'oa kucha na kuwamwagia tindikali.

Haswa wawe makini sana.
Si kila anayemtafuta ana positive Impact ......kwa nn iwe sasa???
Inawezakana,articles zao kuharibu mifumo ya waliokua wanakula ikawa chanzo.
Huyu ana jambo la kheri huyu si mmoja kati ya wale kwakuwa wale wakikutaka wanakupata kwa wepesi mno
 
Back
Top Bottom