Natafuta masoko ya vitambusho

Natafuta masoko ya vitambusho

Joined
Jul 4, 2016
Posts
18
Reaction score
4
Habar wana jamii forum,

Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing na nikiwa nimejikita na utengenezaji wa vitambulisho na busnescards katika mashule na taasisi tofauti tofauti,

Nimependa ku share biashara hii kwa sababu si mbaya tukatengeneza pesa kwa wewe kufahamiana na mtu ambae ninaweza fanya nae kazi,

Kwality ya vitambulisho ni PVC yaani ni sawa na malighafi zinazotumika kutengenezea LESENI YA UDEREVA, KADI YA KURA na KADI YA BENKI,

Bei yangu ni nafuu ambayo ni sawa na Shilingi 4000 nami nitatoa (1000) kwa kila kitambulisho kimoja kama utanikutanisha na mtu anae hitaji hadi kufanya nae kazi,

Kwa mengine zaidi tutaongea

Ninaishi

Sinza - Dar es salaam

# 0713 275 193

Ninategemea ushirikiano kutoka kwenu.
 
Weka na sampuli za business cards bila kusahau bei yake kwa piece mia.
 
Inachukua muda gani kutengeneza hizo business card ukipewa details za MTU
 
sorry brother nilikuwa nimetoka kikaz, ndo maana nimechelewa kujibu , naomba namba zako nikucheki
 
sampuli chache kwa leo nitaendelea kuweka zingine na za kazi tofauti tofauti.
 
Attachments

  • SAMPLE BUZ CARDS.jpg
    SAMPLE BUZ CARDS.jpg
    194.6 KB · Views: 51
Weka na sampuli za business cards bila kusahau bei yake kwa piece mia.

Habar wana jamii forum,

Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing na nikiwa nimejikita na utengenezaji wa vitambulisho na busnescards katika mashule na taasisi tofauti tofauti,

Nimependa ku share biashara hii kwa sababu si mbaya tukatengeneza pesa kwa wewe kufahamiana na mtu ambae ninaweza fanya nae kazi,

Kwality ya vitambulisho ni PVC yaani ni sawa na malighafi zinazotumika kutengenezea LESENI YA UDEREVA, KADI YA KURA na KADI YA BENKI,

Bei yangu ni nafuu ambayo ni sawa na Shilingi 4000 nami nitatoa (1000) kwa kila kitambulisho kimoja kama utanikutanisha na mtu anae hitaji hadi kufanya nae kazi,

Kwa mengine zaidi tutaongea

Ninaishi

Sinza - Dar es salaam

# 0713 275 193

Ninategemea ushirikiano kutoka kwenu.
MIMI NAFANYA BIASHARA KATIKA TAASISI KUBWA! NI PM tuongee!
 
LESENI YA UDEREVA, KADI YA KURA na KADI YA BENKI,mkuu una ruhusa ya kugusa hivi vitu?
 
Mkuu edit kichwa cha habari kidogo maana nilijua vitambusho tena ndo tamko gani la Mkulu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom