Natafuta mashine ya upepo wa magari

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,012
Habari za week end wakuu?
Natafuta mashine iliyotumika ya kujazia upepo wa tairi za magari/compressor.

Kwa yeyote anayeuza au anayefahamu inapouzwa an pm kwa mawasiliano zaidi tafadhali.
Ninapatikana dar es salaam,
Wasalaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom