Natafuta mashine ya kuosha vyombo

Natafuta mashine ya kuosha vyombo

Habari wana Jf, nimechoshwa na kazi yakuosha vyombo kila vinapochafuka hasa baada ya kuvitumia, kwa yeyote anaejua mahali zilipo mashine hizi aniambie.
Na Mimi nitag ukiipata na ikiwezekana nitumie picha Yake na jinsi ifanyavyo kazi
 
Back
Top Bottom