BROTHER OF BROTHERS
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 114
- 160
Hbr, natafuta mashine nzuri ya Photocopier Used iliyopo kwenye condition nzuri iwe Canon au Ricoh Aficio bei maelewano...
Weka picha hicho utafutacho??Hbr, natafuta mashine nzuri ya Photocopier Used iliyopo kwenye condition nzuri iwe Canon au Ricoh Aficio bei maelewano...
😂😂😂Hiyo hela bora niweke mkekauna million 3 nikupe??
iko vizuri mkuu na nakupa offer ya rim box 3😂😂😂Hiyo hela bora niweke mkeka
una million 3 nikupe??
Hbr, natafuta mashine nzuri ya Photocopier Used iliyopo kwenye condition nzuri iwe Canon au Ricoh Aficio bei maelewano...
nina canon IR 1024 ambayo ni used sifa ni kwamba inatoa copies kuanzia 18 hadi 24 kwa dakika, na ina print vivyo hivyo. 0621257158 bei yangu ni 580,000/=Hbr, natafuta mashine nzuri ya Photocopier Used iliyopo kwenye condition nzuri iwe Canon au Ricoh Aficio bei maelewano...
Uko mkoa gani Ndugu? Tafadhali nitakupigia kwa namba ya tigo mwisho 698nina canon IR 1024 ambayo ni used sifa ni kwamba inatoa copies kuanzia 18 hadi 24 kwa dakika, na ina print vivyo hivyo. 0621257158 bei yangu ni 580,000/=