Edson david42
Member
- Mar 22, 2017
- 27
- 9
Habari wana JF,
Nahitaji shamba lenye ukubwa wa ekar 1 kwa ajili ya shughuli za ufugaji...kwa wale wanaofaham maeneo ambayo mashamba yanauzwa kwa hapa morogoro msaada wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app