Ricecooker
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 499
- 912
Namjibu huyo Chaga king.soryNishawahi kulima broo....ila sio Ifakara...
Namjibu huyo Chaga king.soryNishawahi kulima broo....ila sio Ifakara...
Kwenye skimu mzee gharama zikoje kwa plot,na plot INA ekari ngapi, commission yako ipo mradi nipate data za kutosha ,nimeshalima maramoja Skimu ya Kapunga Mbalali.Mimi nipo tayari kukusaidia kupata mashamba ya kulima either kwenye skimu ,au kilimo cha mvua ya mungu .je? Mimi ntafaidika aje na usumbufu utakaojitokeza pia nta kukonect na bwana shamba wazuri ninaofanya nao kazi .lama uko ni pm .nipo kilombero ifakara.
Samahani mkuu...kiswahili ni lugha yangu ya tatu kujfunza.....niwie radhi kwa makosa ya uandishiKwa aajiri ndio kiswahili gani kwa ajili ya kilimo we VIP jifunzeni silabi rudi tena darasani
kwa heka 15 mkuu jipange zaidi ya milioni 4 utafanikisha zoez ,,hapo weka pembeni gharama za kuvunia na kutoa mzigo shambaMkuu mfano nikitaka kulima ekari 15 au 20 then inakuwaje hapo inabidi hasaaa niwe na kiasi gani ili niweze kufanikisha zoezi zima??
Nick umefikia wapi ishu zako za mashamba ya mpunga?Samahani mkuu...kiswahili ni lugha yangu ya tatu kujfunza.....niwie radhi kwa makosa ya uandishi
wewe upo Mngeta ?mi nipo hapa tufanye tuonane mwana Jf mwenzanguUwiii njoo inbox ASAP shamba lipo mngeta acre 100
Njoo inbobowewe upo Mngeta ?mi nipo hapa tufanye tuonane mwana Jf mwenzangu
kwa heka 15 mkuu jipange zaidi ya milioni 4 utafanikisha zoez ,,hapo weka pembeni gharama za kuvunia na kutoa mzigo shamba
I think I could get something over here!
Ukimuweka MTU akusimamie kila kitu ni vizuri ila najua baada ya muda utatuletea mrejesho humu jf kuwa imekula kwako.we unataka kulima kwa simu?haaaMkuu me nipo tayari na hiyo hela ninayo je baada ya kuvuna hapo nikivuna na kuwekeza huo mpunga baada ya mda nikaja kuuza nitauza na nitapata faida ya kiasi gani also nipo mbali kidogo je kuna watu wa uwakika wanaweza kunisimamia kila kitu??
Mkuu nitakutafuta nahis kuna mengi ya kujifunza toka kwako uko vizurUkimuweka MTU akusimamie kila kitu ni vizuri ila najua baada ya muda utatuletea mrejesho humu jf kuwa imekula kwako.we unataka kulima kwa simu?haaa
Brother ,hao ndo wale wakatisha tamaa, usijali mungu awe nae katika kutimiza ndoto zakoNdo mtaji wangu nilionao kwa sasa broo....labda kama unaweza kunishauri vinginevyo
Mkuu mbona nyingi tuu ekar mbili sema tuu Kwa muda huu amechelewa japo anaweza kupataEkari 2 mwaka mzima,s pesa yote itaishia kwenye nauli.
Brother huku malinyi hata mie natamanimashamba ifakara yamekua ni challenge in terms of bei na competition inayosababishwa na uhitaji, kwa ushauri wangu nenda itete,ngombo au malinyi mkuu pia ningependa kujua una mtaji wa kiasi gani ili nikushauri vizuri
Uku kilimo chake ni cha kutegemea mvua au kuna mito mkuu, natamani kupafahamu zaidimi uko kote nakupata vizuri kuanzia ruaha,msolwa,mkula,mang'ula,ifakara,lupiro,mahenge,malinyi,ngoheranga,ngombo,mwaya,itete,na kwngine koote katika izo wilaya
Mkuu hembu tudadafulie kidogo ilikuaje!Uwe makini sana ndugu yangu
Warungulu niwatu wabaya sana
Mwaka 2014,waliniibia 50millioni kwenye kilimo
Na mbaya zaidi wakataka kuniua kwa waganga kwa pesa zangu mwenyewe kwenye kilimo
Nakushauri sana kuwa makini sana
Mpaka Leo sijainuka kbsa nipo chini kbsa,
Pole sana mkuu, binadamu wabaya sana aisee..Uwe makini sana ndugu yangu
Warungulu niwatu wabaya sana
Mwaka 2014,waliniibia 50millioni kwenye kilimo
Na mbaya zaidi wakataka kuniua kwa waganga kwa pesa zangu mwenyewe kwenye kilimo
Nakushauri sana kuwa makini sana
Mpaka Leo sijainuka kbsa nipo chini kbsa,