Kim Jong Un
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 496
- 258
Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged)
2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa daily, weekly and monthly targets. N a KPIs zipo. mshahara utapanda haraka sana.
Nimetenga pesa ya kumlipa ya mwaka mzima so kuhusu mshahara hatakuwa na shida.
Najua kampuni itakua haraka maana this s not my first time nilittangaza hivi nikaanza na kijana namlipa laki na nusu but now analipwa laki tano. kazi yake ni kwenda kwenye cooperate offices na kutangaza kampuni.
nakaribisha mtu serious anitafute - 0766568609
Wacha dharau.laki 2 kwa mwezi?kuwa serious basi!Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged)
2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa daily, weekly and monthly targets. N a KPIs zipo. mshahara utapanda haraka sana.
Nimetenga pesa ya kumlipa ya mwaka mzima so kuhusu mshahara hatakuwa na shida.
Najua kampuni itakua haraka maana this s not my first time nilittangaza hivi nikaanza na kijana namlipa laki na nusu but now analipwa laki tano. kazi yake ni kwenda kwenye cooperate offices na kutangaza kampuni.
nakaribisha mtu serious anitafute - 0766568609
Company yako inadeal na nini?,husemi unaishia kututamanisha umeaanda salary ya mwaka. Tiririka maelezo yaliyoshibaa, je unaweza kunipa salary advance ya mwaka mzima?, usije kuitumia bure
Hahaaa, akinipa hiyo inabaki kupiga Kazi tu, nishachukua changu cha mwaka mzimayani weweee
Hahaaa, akinipa hiyo inabaki kupiga Kazi tu, nishachukua changu cha mwaka mzima
Samahani mtoa post, hii company yako unayohitaji itangazwe inashughulika na nini?maana hiyo ndio point ya msingi inayomiss kwenye post yako...Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged)
2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa daily, weekly and monthly targets. N a KPIs zipo. mshahara utapanda haraka sana.
Nimetenga pesa ya kumlipa ya mwaka mzima so kuhusu mshahara hatakuwa na shida.
Najua kampuni itakua haraka maana this s not my first time nilittangaza hivi nikaanza na kijana namlipa laki na nusu but now analipwa laki tano. kazi yake ni kwenda kwenye cooperate offices na kutangaza kampuni.
nakaribisha mtu serious anitafute - 0766568609
Hili tangazo limenichekesha kweli jinsi alivyolinadi kwa mbwembwe.
Eti anataka mtu confident na smart.
Mtu smart gani atakayekubali umlipe laki 2.
Mshahara wa laki 2 hata machinga hawezi kukubali.
Halaf Ni bora Hilo title la marketing officer ungebadilisha uandike marketing casual laborer.
Officer umlipe laki 2 kweli?
Facts πππππWabongo banah mtu yupo tayari kufanya kazi kwa wahindi mshahara hata laki na nusu
Haifiki hapa wanajishauaaaa wakati wanaishi kwa mashemeji nyooo
"If you throw peanuts, monkeys you shall get".Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged)
2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa daily, weekly and monthly targets. N a KPIs zipo. mshahara utapanda haraka sana.
Nimetenga pesa ya kumlipa ya mwaka mzima so kuhusu mshahara hatakuwa na shida.
Najua kampuni itakua haraka maana this s not my first time nilittangaza hivi nikaanza na kijana namlipa laki na nusu but now analipwa laki tano. kazi yake ni kwenda kwenye cooperate offices na kutangaza kampuni.
nakaribisha mtu serious anitafute - 0766568609
haaaahaaaWabongo banah mtu yupo tayari kufanya kazi kwa wahindi mshahara hata laki na nusu