Natafuta marketing officer - salary laki mbili - Mwanza

Kim Jong Un

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
497
258
Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged)

2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa daily, weekly and monthly targets. N a KPIs zipo. mshahara utapanda haraka sana.
Nimetenga pesa ya kumlipa ya mwaka mzima so kuhusu mshahara hatakuwa na shida.
Najua kampuni itakua haraka maana this s not my first time nilittangaza hivi nikaanza na kijana namlipa laki na nusu but now analipwa laki tano. kazi yake ni kwenda kwenye cooperate offices na kutangaza kampuni.
nakaribisha mtu serious anitafute - 0766568609
 
Ungetuambia hiyo kampuni inajishughulisha na nini maana sijaona hapa.
 
Wacha dharau.laki 2 kwa mwezi?kuwa serious basi!
 
Hili tangazo limenichekesha kweli jinsi alivyolinadi kwa mbwembwe.
Eti anataka mtu confident na smart.
Mtu smart gani atakayekubali umlipe laki 2.
Mshahara wa laki 2 hata machinga hawezi kukubali.
Halaf Ni bora Hilo title la marketing officer ungebadilisha uandike marketing casual laborer.
Officer umlipe laki 2 kweli?
 
Samahani mtoa post, hii company yako unayohitaji itangazwe inashughulika na nini?maana hiyo ndio point ya msingi inayomiss kwenye post yako...
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽wadhifa mkubwa mshahara wa house girl.

Hili tangazo limenichekesha kweli jinsi alivyolinadi kwa mbwembwe.
Eti anataka mtu confident na smart.
Mtu smart gani atakayekubali umlipe laki 2.
Mshahara wa laki 2 hata machinga hawezi kukubali.
Halaf Ni bora Hilo title la marketing officer ungebadilisha uandike marketing casual laborer.
Officer umlipe laki 2 kweli?
 
Natafuta mtu confident, smart kichwani and good looking ambaye atasaidia kukuza kampuni yangu. (Ladies are more encouraged)

2018 nilifungua kampuni mpya ambapo nimepata contracts 2 mpaka sasa nimeona kuna room kubwa ya kukua. Nomba kupata marketing officer ambaye atakuza kampuni hii. Nitampa daily, weekly and monthly targets. N a KPIs zipo. mshahara utapanda haraka sana.
Nimetenga pesa ya kumlipa ya mwaka mzima so kuhusu mshahara hatakuwa na shida.
Najua kampuni itakua haraka maana this s not my first time nilittangaza hivi nikaanza na kijana namlipa laki na nusu but now analipwa laki tano. kazi yake ni kwenda kwenye cooperate offices na kutangaza kampuni.
nakaribisha mtu serious anitafute - 0766568609
"If you throw peanuts, monkeys you shall get".
Author:Anonymous
 
unataka mtu wa kukuzia kampuni halafu package umemtengea hiyo? kuwa na huruma acha ukoloni bro Mungu atakubariki
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom