Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
Sasa Mkuu kumbe facebook kuna kazi gani zaidi ya kuchati?
huna kazi nyingine za kufanya?
Sasa Mkuu kumbe facebook kuna kazi gani zaidi ya kuchati?
huna kazi nyingine za kufanya?
Sina Mkuu, hebu nipe michongo basi kama unayo
kauze matikiti maji ubungo mataa
Poa poa mkuu ngoja nifike hapo sasa hivi nione kama hakuna wengine wanaouza tikiti maji maeneo hayo tusijekuwa wauzaji wengi. Halafu juzi tu kuna rafiki yangu mmoja aliniambia ameenda shamba na laki tatu na nusu kapata matikiti zaidi ya 700
mbona kkoo wauza nguo ni wengi na wateja wananunua?
Upo sahihi mkuu. Kuanzia jtatu next week utaniona hayo maeneo, karibu kununua matikiti na jamaa zako kuanzia jtatu hapo ubungo mataa