Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Wakuu,

Natafuta marafiki wa kuchat nao kwenye facebook, ukiwa facebook au hata kwenye google search fadhili paulo

Ahsanteni.
 
Mkuu wazo lako n nzur, lakn uliporepresent sipo penyewe! Peleka kwny forum ya jf social forum katika mahusiano, urafiki na mapenz utapata weng sana! Thanks
 
Ahsante mkuu, ngoja nipeleke na huko pia
 
Ushawaingiza watu kingi na gari lako (Toyota-double cabin)??? Au unataka wawe karibu nawe ili uwaingize kingi kwa ukaribu?:tape:

Duuuuh kumbe kuna siri imejificha ndan yake!
 
  • Thanks
Reactions: Ntu
Mmmmh!This time, Muuza magari ya kitapeli anataka marafiki.Kuweni makini!
 
Sijawahi kumtapeli mtu naomba uniheshimu kama ninavyokuheshimu. Tayari nina marafiki zaidi ya 3500 nataka wafike 5000 haraka iwezekanavyo.
 
Hao 3500 umeshawafurahisha vya kutosha?
Au basi tu unataka na wewe uwe nao wengi ili watu wakipita kwenye page yako wakuone una marafiki wengiiiiii wakati in reality una chat na marafiki labda watano wiki nzima.
Be serious
Grow up
 
Na-chat nao wengi sana mkuu wala hilo usilihofie kabisa
 
Back
Top Bottom