Natafuta marafiki

Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,975
6,448
I am a man here i am looking only friendship,jaman mi natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo,aliye taya ani PM.
 
mbona una kihehere ntakomaa hapa hapa na ntapata tu!
 
mbona una kihehere ntakomaa hapa hapa na ntapata tu![MWENYE KIHEREHERE NI WEWE UNAYEVAMIA MITANDAO UKIDHANI NI YOTE IKO HIVYO. SANA SANA HAPA WATU WATAKUCHORA TU HEBU NIAMBIE KUNA HAJA GANI YA KUWA NA RAFIKI AMBAYE HAMJAWAHI KUKUTANA HATA SIKU MOJA. ARE YOU GREAT THINK?
 
Acha ushamba we have made a lot of friends even hata bila kuonana and we have made a lot of things,acha kuclaim even yawezekana hujui how to make friends.
 
3288650996_e926852e38_o.png
 
I am a man here i am looking only friendship,jaman mi natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo,aliye taya ani PM.
hiki ndio kilichokufanya ujiunge huku JF its better go faceboo there ull get them here only great thinkers huku hamna hii makitu :busu:busu
 
Username yako ndiyo nina mashaka , yaweza kua chachu ya kukuchelewesha kupata utakacho, labda yuko member mmoja mwenye jina la upande wa pili related na lako, anaitwa Chi "K" Huyo utampata mapema , hajapita tu hapa nadhani .
 
Soma vizuri thread yangu kaka! naona ndo unazinduka ucngzni!
 
Kwani jina langu lina shida gani? Wanajamvi naomben mnisaidie make naona akina Ruta wanabeza sana.
 
I am a man here i am looking only friendship,jaman mi natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo,aliye taya ani PM.

Hahahaaaaaa Chibolo! Unatafuta rafiki wa nini wakati ID yako 'CHIBOLO' inaonyesha tayari rafiki unaye anaitwa 'CHI........MA'. Badili kwanza I'd ndio utapata rafiki otherwise itakula kwako mweshimiwa 'çhibolo', kwi kwi kwi kwi kwi!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Id haina shida ndg yangu,ila naona hujaelewa maana ya hiyo id ni pm nikupe maana yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom