Ha ha ha ha wewe ni Gasho? ila hata kama ni kutumia majina fake wewe umezidi aisee Mpenda kufukuliwa Nusratt na Mshangazi dot com njooni mshuhudie vituko vy JF
kuna siku walikuja home wakaniambia wanandikisha wanachama wapya wa fisiemu, nikawauliza, kuna hela, wakajbu kadi tunakupa bure, nikajbu kama ni kad ninayo ya cdm, waliondoka bila kuaga