Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Kuchukua pesa sijakataza mnama ila moyo ubaki chadema na mimi ndicho ninachofanya ,sijawahi kuacha pesa za wajinga.
kuna siku walikuja home wakaniambia wanandikisha wanachama wapya wa fisiemu, nikawauliza, kuna hela, wakajbu kadi tunakupa bure, nikajbu kama ni kad ninayo ya cdm, waliondoka bila kuaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom