natafuta marafiki

unataka wa kike tu? hupendi kupata na washkaji wa kiume wa kushare ideas za maisha?
 
ungeandika wanawake na wanaume we umeweka bintz tu fb wapo weng tu nenda kauze sura huko.
 
ungeandika wanawake na wanaume we umeweka bintz tu fb wapo weng tu nenda kauze sura huko.

marafiki wa huku naamini ni wastaarabu n ni wasomi pia! sio km fb cjaiona. na km ningekua nataka kuuza sura c ningeweka picha yangu? hapo ndo ungesema nina nia ya kuuza sura mkuu. samahani km nakukwaza kwa mimi kutafuta rafiki humu. marafiki wakiume ninao wengi tu,ila kwa sasa demand ni wakike mkuu. wala usinielewe vibaya
 
hi Jf members, hope u r all ok. natafuta marafik wa kike wa kuchat nao na kubadilishana mawazo,awe anasoma kuanzia form 5 mpka university first year,miaka 18-22,awe mstaarabu.

unatafuta marafiki unatafuta mademu.acha kutuzuga ww.peleka pia ktk magazeti ya shigongo.
 
Kwanza lazima kuchangia bhana.Kama unaona huyo mdau kakosea kutafuta rafiki hapa jukwaa la mmu! Ihamishieni hii thread kwenye jukwaa la dini basi! Nyaaau
 
Kwa hyo mkuu,we umevutiwa kuchat na mademu 2?

cjasema navutia na kuchat na wanawake tu mkuu, nimesema natafuta marafiki wa kike wa kuchat nao. ukisema hvo inaweza leta tafsiri kwamba nabagua watu mkuu! mbna watu wanatafta wachumba inamaana wao humu JF ni wachumba tu kwenda mbele hawana tym na wengne? no mkuu
 
unatafuta marafiki unatafuta mademu.acha kutuzuga ww.peleka pia ktk magazeti ya shigongo.

km nataka demu c ningesema mkuu,kwan naogopa nini? mbna watu wanatangaza kila cku wanatafta wapenz! mi marafik tu
 
hi Jf members, hope u r all ok. natafuta marafik wa kike wa kuchat nao na kubadilishana mawazo,awe anasoma kuanzia form 5 mpka university first year,miaka 18-22,awe mstaarabu.

Mapenzi yanarun dunia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom