natafuta marafiki

Change_it

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
279
83
heshima mbele to all JF members,natafuta marafiki wa kike wa kuchat kwa ajili ya kubadilishana mawazo,umri 18-22,for more info ni PM.
 
Mwaga nawewe CV zako, sio utake umri wa miaka 18-22 kumbe wewe una above 69.
 
heshima mbele to all JF members,natafuta marafiki wa kike wa kuchat kwa ajili ya kubadilishana mawazo,umri 18-22,for more info ni PM.


Unachotafuta ni zaidi ya urafiki dogo, u just be open bana, afu huku hoja zako ndizo zitakupatia marafiki, kama ni marafiki wa kutafuta kwa namna hiyo nakushauri rudi kule kwenye fasibuku utakutana na teenagers wengi tu huku watu utapata mmoja mmoja sana kwa umri chaguo lako labda uongeze hadi kwenye 45 kama kweli ni kwa maana halisi ya rafiki!
Au nenda www.badoo.com huko pia kuna watoto lakini sijui kama utawaweza labda na wewe ni kama wao!
 
Unachotafuta ni zaidi ya urafiki dogo, u just be open bana, afu huku hoja zako ndizo zitakupatia marafiki, kama ni marafiki wa kutafuta kwa namna hiyo nakushauri rudi kule kwenye fasibuku utakutana na teenagers wengi tu huku watu utapata mmoja mmoja sana kwa umri chaguo lako labda uongeze hadi kwenye 45 kama kweli ni kwa maana halisi ya rafiki! Au nenda Meet New People on Badoo, Make Friends, Chat, Flirt huko pia kuna watoto lakini sijui kama utawaweza labda na wewe ni kama wao!
huo ni mtizamo wako dogo
 
dahhh ningependa kusajili CV yangu lakini huo umri umenitoa kapa.. Siku njema..:poa
 
haujielewi wew kiumbe ina maana wanaume hawana mawazo au?? Au kuna mawazo ya kike na kiume sijakuelewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom