Mmmmh kwenye ukurasa wa kazi unatafuta marafiki, nenda ukurasa wa marafiki na mapenz, na hapo " mim binti " hako kamtego hikoooo heeeee hiyo ndio password ATM zitaingia zenyeweeeee 🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇 ila kila la kher ukiona kimya ujue vyuma vimekaza na jero mpaka tuiite tena mia tano. Goodluck