Natafuta marafiki wafanyabiashara

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
34,962
70,477
Mimi ni mwanamke mjasiriamali.

Nimewaza na Nimeamua kutafuta marafiki wafanyabiashara hasa ya madini ili tupeane uzoefu na tekniks za kuhusu hii biashara (how to handle the game).

Iwe ni kota au anamiliki eneo la uchimbaji au awe ana mwalo nitafurahi pia..!

Mimi pia niko kwenye biashara hii ya madini.

Nahitaji aliye serious tusaidiane na kubadilishana mawazo pia...iwe mwanamke au mwanamume!
 
manengelo niPM sister i too... nna uzoefu kiasi fulani na hiyo biashara lakini iko based na dhahabu ya vumbi namaanisha ile ambayo inasagwa kwanza kisha inaoshwa mwaloni halafu marudio yanasubirishwa kwaajili ya kupelekwa plant... karibu tubadilishane uzoefu..
 


Haya mkuu nakupm..
 
Mtafte mrangi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…