Natafuta marafiki wa kike tu

Sniper shooter

Senior Member
Joined
Jan 3, 2016
Posts
178
Reaction score
128
Habari za asubuhi wana jamii,

Natumai muwazima rejea kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hivyo niko huru nyumbani hivyo nahitaji marafiki wa kike tu.

Kwa mawasiliano na ushauri katika mambo mabalimbali yahusuyo maisha karibuni pm.

Vigezo
* Uwe na umri kati ya miaka 18 hadi 30
* Elim yeyote ile sibagui dini
Vigezo na masharti kuzingatiwa

NB; Marafiki wa kiume siwahitaji maana ninao wengi sana.
 
Ungetafuta internship kwanza kuliko kutafuta wasichana tena ukiwa umepumzika home tu, utashinda kutwa nzima kukunjua mwamvuli tu na siku matokeo yakitoka na wewe utapata matokeo yasiyoridhisha kutoka kwa madaktari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kwenye bio yako una 23yrs old
 
Mmesharudi sasa mnaanza kusumbua humu ndani. Umesoma HKL nini maana nasikia walikuwa na paper 3 wenzenu wa PCB na PCM bado wanapiga mzigo paper 12. PCM/PCB huwezi kutafuta wasichana humu wakati huko shuleni wako form 1 kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…