mchakamchaka2
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 115
- 54
Nmepata transfer ya kikazi mkoani mwanza..mi kwa asili yangu ni mgumu sana kutengeneza marafiki sababu ni mkimya..hivyo kwa wenyeji hapa mwanza jinsia zote ukiwa kijana wa -32 ni vizur zaidi...naboreka sana.
Mimi niko nyakato mwananchi.wewe wapi makazi na wapi kazi?
Msalimie Dr. Chogo huko au mambo ya chinga...
Uko mwanza sehem gani mm niko meko nyakato Karibu sana ila uo umri sijafikisha
Kutana na mkimya mwenzio charminglady mvunje huo ukimya
Kutana na mkimya mwenzio charminglady mvunje huo ukimya