kweli yale mambo ya akina obama camerron(wazir mkuiu wa uingereza) naanza kuona dalili zake hapa bongoland!! Kijana acha ujinga unataka kuolewa...tena na jimama..mungu tuepushie mbal!!!
dah! hii migomo sio ishu! yani walimu kugoma kidogo tu, katoto ka darasa la tatu kanataka shuga mami! kakalelewe! mtafute q chief atakupeleka mombasa huko ndo wamejaa!
pole kijana kwa kutaka vya bure ondoa hayo mawazo hayo majimama yatakupa Ukimwi tu piga moyo konde tafuta kazi ya kufanya kama tatizo ni pesa au kama tatizo ni wanawake kuna mabinti kibao wewe ni mdomo wako
Mbona mnamtisha hvyo! Naye aje atuambie kama kasha mpata au vp? Maana kuna mi'mama hapa inakiu sana na damu changa, nitamtupia mmoja wa kirangi mweupeee, muneneeee na chapaaa ipo!
Kumbe umejiunga JF juzi kwa lengo la kutafuta Shuga Mammy! Nakupa pole sana, weka picha yako hapo wakuone kabisa, isijekuwa katoto ka darasa la nne, halafu ulipate limama kama mamako si balaa hapo!