Natafuta mama mtu mzima tuwe wapenzi.

Natafuta mama mtu mzima tuwe wapenzi.

bibi yangu mzaa mama anasema yuko tayari! Nichek PM nkugee kontakt zake
 
Jaman kwan tatzo nini kama hawa mademu unatoka na baba zetu je kwa nini nasi wavulana tusiwape haki sawa na hawa wamama so ndo life iliyopo
 
Dogo mbona unahangaika sana. Yapo mababa yenye pesa zao, yanatafuta vijana bikla kama wewe. Kama vp jiachie upate maisha
 
Bibi yangu ana miaka kama 80 hivi atakufaa? Lakini ujue tumesharithi kila kitu
 
mdogo wangu kuwa makini na wamama wa mjini wengi ni arv plus na vitambi vyao hivo cku hizi afu wanazuga ooh kitambi cha bia, mara ooh vidonge vya uzazi..! kwani hatuwaoni mnavyotupa mabox njian..!! chunga sana dogo utakufa taifa bado linakuhitaji.
 
Back
Top Bottom