Natafuta makaunta

Natafuta makaunta

Binti Chicho

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
10
Reaction score
1
Jaman na shida na makaunta wa bar yeyote aliyetayari plz let me knw bar ipo kurasini karibu na uhamiaji
 
Unaona raha kuwauzia wenzako vilevi eee??,tafuta biashara ingine ya kufanya hiyo utakuwa unalaaniwa na mungu wako kila siku!!,ni ushauri tu lkn!!,
 
Unataka wangapi?mshahara sh ngapi?Mshahara unalipa kwa wkt au mpaka AKUSUJUDIE KM MUNGU.
 
Mkuu maeneo gani? au pale viti vya sliver wanapo tengeneza noah!
 
hakyanani nilifikiri anatafuta makaunta buku.
counter-book-250x250.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom